Kuhusu Exness.
Exness ni wakala wa biashara wa mali nyingi, anayezingatia teknolojia na kutumia algoriti za kiwango cha juu kwa masharti yaliyoboreshwa ya biashara.
Exness huzingatia usawa
Tuliazimia mnamo 2008 kusawazisha maadili na teknolojia ili kufikiria upya jinsi uzoefu bora wa biashara unaweza kuwa. Leo, kama viongozi katika tasnia ya biashara ya CFD, tunaohudumia traders zaidi ya 800,000 wanaoendeleza biashara, tunajua tuko kwenye mwelekeo sahihi.
Tuliunda vipengele vyetu vya biashara ya umiliki ili tuweze kutoa huduma za kipekee ambazo hakuna wakala wa biashara mwingine aliyewahi kujaribu. Tulikuwa wa kwanza kutoa hatua za utoaji pesa wa papo hapo, kutoa ulinzi dhidi ya stop out na mengine mengi. Vipengele ambavyo ni muhimu kwa traders.
Biashara ni mojawapo tu ya mambo hayo. Tunaamini katika kuunda mifumo ikolojia inayofaa kwa traders, washirika, na wafanyakazi kustawi ndani. Kufanya jambo lilionekana kuwa haliwezekani kuwa - jambo halisi.
Kama timu ya wahandisi wa kifedha, tumekuza mazingira ambapo traders wanaweza kuhisi kuwa salama na wamewezeshwa.
Petr Valov
Mwanzilishi na Afisa Mtendaji Mkuu
Tunapea wateja wetu kipaumbele
Exness ina zaidi ya wataalamu na wabunifu 2,400 wa teknolojia kutoka kote ulimwenguni, wanaofanya kazi ili kuboresha soko. Tukiwa na ofisi katika mabara manne, tunatoa changamoto kwa wafanyakazi wetu kufikiria kwa njia tofauti na kujiuliza kila siku – kutrade kunapaswa kuonekanaje katika siku zijazo?
Zaidi ya wafanyakazi
2400
Ofisi 7
Kote ulimwenguni
Kutoka mataifa
98
Mabara
4
Maadili yetu huongoza kila maendeleo
Kuanzia mkakati wa biashara hadi utunzaji wa wafanyakazi, kila hatua tunayochukua inafuata maadili yetu 4 makuu.
Ujasiri
Tumevumbua, tumevuka mipaka, na kupinga hali ilivyo tangu siku ya kwanza. Huwa tunafuata wazo rahisi: ikiwa haipo, tunaivumbua. Ikiwa ipo, tunaiboresha.
Watu wazuri
Tunawapa wateja wetu kipaumbele, na kuhakikisha kuwa ubunifu wetu wote unaathiriwa na hamu yetu ya kuwapa uzoefu bora wa biashara iwezekanavyo.
Wataalamu wa kiteknolojia
Tunafuata sana kanuni na mbinu za kisayansi, kwa kutumia miundo na data ya kiwango cha juu katika kila kitu tunachofanya ili kuwalinda wateja wetu na kuwapa masharti bora kuliko ya soko.
Kutegemewa
Tunatanguliza kutegemewa katika jukwaa letu na kutupa msingi thabiti wa kuvumbua. Spreads thabiti, execution ya haraka na mafao mengine yanayomlenga mteja, hufanya biashara katika Exness kutegemewa zaidi.
Ukubwa wetu husababisha matokeo makubwa
Tunapenda kusaidia wengine. Kupitia mpango wetu wa kimataifa wa Uwajibikaji wa Shirika kwa Jamii (CSR), tunawekeza katika jumuiya zinazotuzunguka.
Unda mustakabali wa biashara ya mtandaoni
Je, uko tayari kwa changamoto halisi? Tuma ombi la kujiunga na wahandisi wetu waliobobea, wasanidi programu, wauzaji na viongozi wenye maono na urekebishe jinsi biashara itakavyokuwa katika siku zijazo.