Ripoti za kifedha za Exness

Hapa Exness, tunahakikisha kuwa ripoti zetu zote za kifedha zinapatikana kwa umma kwa hivyo unaweza kukagua indicators zetu muhimu za utendaji na ukaguzi wa kifedha.

Indicators za utendaji za Exness Group

Kiwango cha biashara

Jumla ya kiasi cha CFD kilichouzwa kwa mabilioni ya USD

Idadi ya wateja wanaofanya biashara

Jumla ya wateja wanaofanya biashara na kutekeleza operesheni za salio

Utoaji wa pesa uliofanywa na wateja

Jumla ya utoaji katika mamilioni ya USD (bila kujumuisha uhamishaji wa ndani)

Malipo ya mshirika

Jumla ya ada wanazolipwa washirika katika mamilioni ya USD

Takwimu mpya zimewekwa kufuatia ukaguzi wa hivi majuzi.

Maswali yanayoulizwa sana

Mnamo 2023, Exness ilipata mafanikio ya ajabu ya zaidi ya $ Trilioni 4 katika kiwango cha biashara cha kila mwezi. Zaidi ya hayo, kwa mwaka mzima, tulitekeleza trades bilioni 1.9. Ili upate maelezo zaidi na taarifa za ya hivi punde, pakua na uhakiki ripoti zetu za hivi punde za kifedha.

Exness hupata mapato yake kupitia kile tunachoita Mapato ya Spread katika jukumu lake kama market maker. Kimsingi, Exness hutoza 'ada ya huduma' kwa kusaidia traders kutekeleza transactions zao kwenye majukwaa ya Exness.

Zaidi ya hayo, Exness hupata faida kutokana na ada za biashara kwenye aina fulani za akaunti na financial instruments. Kwa mfano, kwa akaunti yetu ya Zero, traders hawalipi ada zozote za spread kwenye instruments 30 za kiwango cha juu kwa asilimia 95 ya siku. Badala yake, wao hulipa 'ada ya biashara' iliyowekwa kwa kila trade wanayofanya kwenye instruments mahususi.

Exness pia hutoza ada za swap kwenye instruments fulani, ambazo hutozwa traders wanapofungua trading position usiku kucha.

Fanya biashara na broker anayeaminika leo

Jionee mwenyewe kwa nini Exness ndiye broker anayefaa zaidi kwa traders zaidi ya 700,000 na washirika 64,000.