Trade indices kwa manufaa ya juu zaidi

Nufaika na soko la kimataifa la indices kwa masharti ya biashara yaliyoundwa ili kuimarisha mkakati wako.

Fanya trade kwenye soko la index la dunia katika Exness

Panua portfolio yako

na upate ufahamu wa soko la kimataifa kwa kutrade bidhaa za index za stock.

Fikia indices kuu zinazofanyiwa biashara sana

kutoka kwa masoko ya kiwango cha juu duniani kote, ikiwa ni pamoja na Marekani, Uingereza, Uchina, Ujerumani na Japani, kwa execution ya haraka na spreads za chini na thabiti.

Furahia ufikiaji wa haraka wa mapato yako

kutoka kwa kutrade indices na mmoja wa brokers katika sekta ambaye huchakata hatua za utoaji fedha papo hapo.¹

Spreads na swaps za soko la indices

Market execution

Ishara

Spread wastani

pips

Ada

kwa kila lot/upande

Margin

Long swap

pips

Short swap

pips

Stop level*

pips

Masharti ya soko la indices

Soko la kimataifa la index ni mtandao mpana wa indices za stock ambazo kwa kawaida unajumuisha mamia au maelfu ya stocks za kampuni kubwa na ndogo. Jukwaa la biashara la kiwango cha juu la Exness hukuruhusu kubashiri mienendo ya bei ya indices mbalimbali za stock bila kulazimika kununua mali ya msingi.

Spreads

Spreads huelea kila wakati, kwa hivyo spreads kwenye jedwali hapo juu ni wastani wa jana. Kwa spreads za moja kwa moja, tafadhali rejelea jukwaa lako la biashara.

Tafadhali kumbuka kuwa spreads zinaweza kupanuka wakati soko linapata liquidity ya chini. Hii inaweza kuendelea hadi viwango vya liquidity vitakaporejeshwa.


Swaps

Taarifa mpya za thamani za swap zinaweza kutolewa kila siku. Ikiwa wewe ni mkazi wa nchi ya Kiislamu, akaunti zote zitakuwa swap-free.


Migao

Kiasi cha mgao kinaweza kusasishwa kila siku. Angalia migao ijayo na usome taarifa muhimu zaidi kuhusu migao katika Kituo chetu cha Usaidizi.


Masharti ya margin yasiyobadilika

Wakati wa kufanya biashara ya fahirisi, kiwango cha leverage hubainishwa kuwa 1:400 kwa US30, US500 na USTEC, na 1:200 kwa fahirisi zingine. Masharti ya kiwango cha juu cha margin kwa fahirisi ya kila siku hutegemea fahirisi mahususi. Unaweza kupata orodha ya masharti yote ya juu ya margin kwa fahirisi hapa.


Stop level

Tafadhali kumbuka kuwa thamani za stop level kwenye jedwali lililo hapo juu zinaweza kubadilika na huenda zisipatikane kwa traders wanaotumia mikakati fulani ya biashara ya kiwango cha juu au Expert Advisors.


Saa za kufanya biashara
  • AUS200: Jumapili 22:05 - Ijumaa 20:00 (mapumziko ya kila siku 06:30-07:10, 20:59-22:05)

  • US30, FR40, DE30, USTEC, US500, STOXX50, UK100: Jumapili 22:05 - Ijumaa 20:00 (mapumziko ya kila siku 21:00-22:05)

  • JP225: Jumapili 22:05 - Ijumaa 20:00 (mapumziko ya kila siku 20:59-22:05)

  • HK50: Jumapili 22:05 - Ijumaa 20:00 (mapumziko ya kila siku 00:45-01:15, 04:30-05:00, 08:30-09:15, 21:00-22:05)

Muda wote uko katika wakati wa seva (GMT+0).

Kwa nini ufanye trade ya indices katika Exness

Kutoka kwa US Tech 100 hadi S&P, pata ufikiaji wa indices za kimataifa zinazofanyiwa trade sana kupitia broker anayejua kinachokufaa.

Execution ya haraka

Usikose pip kamwe. Orders zako zitatekelezwa kwa milisekunde kwenye mifumo ya MT na Terminali zetu za Exness.

Spread za chini na thabiti

Punguza gharama zako za biashara kwa spreads za chini ambazo ni thabiti na za kutegemewa, hata katika hali zinazobadilika-badilika. Imarisha utendaji wako na upunguze gharama zako, hata wakati index ya volatility iko juu.

Ulinzi dhidi ya Stop Out

Chelewesha au wakati mwingine epuka stop outs ukitumia kipengele tunachomiliki cha ulinzi wa soko. Imarisha positions zako kwa hali iliyowekwa kusaidia mkakati wako kuhimili volatility.

Maswali yanayoulizwa sana

Kutrade bidhaa za indices ni njia nzuri ya kufanya biashara kwenye soko la indices za stock bila kuhitaji kumiliki mali ya msingi.

Kwa sababu unaakisia kuhusu utendaji wa index badala ya kuiwekezea, unaweza kunufaika na mienendo ya bei, iwe zinapanda au kushuka.

Unaweza pia kutumia leverage kufikia soko la kimataifa la indices ukiwa na sehemu ya mtaji ambao ungehitaji ikiwa ungewekeza katika indices moja kwa moja.

Hii haifungui tu ulimwengu wa indices kuu kwa traders wengi zaidi, lakini pia hutoa fursa za kipekee za biashara kwa timeframes nyingi, haswa ikiwa inapojumuishwa pamoja na uchanganuzi thabiti wa kiufundi wa chati ya index.

Kuamua wakati wa kuingia au kutoka kwa trade katika soko la kimataifa la indices kunapaswa kuzingatia mkakati wako wa kina wa biashara.

Wakati wa kutrade indices, unapaswa kufuatilia kwa makini mambo anuwai ya kimsingi, yakiwa ni pamoja na matoleo ya habari za kiuchumi, matukio ya kijiografia na kisiasa na maendeleo ya uchumi mkuu.

Unaweza pia kutumia aina mbalimbali ya zana za uchanganuzi wa kiufundi kuchanganua chati za index. Hii inaweza kuwa katika kutambua mitindo ya chati ya kinara hadi kutumia Fibonacci retracement, au kuangalia moving average na kumakinika kwa index ya volatility.

Baada ya kujaribu mkakati wako wa biashara, unahitaji kuangalia saa za kufunguliwa na kufungwa kwa masoko unayofanyia trade.

Unaweza kuona ratiba kamili katika sehemu ya Saa za Kutrade kwenye ukurasa huu.

Fibonacci retracements ni zana maarufu ya uchanganuzi wa kiufundi inayotumiwa kutambua viwango vinavyoweza kutokea vya support au resistance.

Ili kufanya trade ya indices kutumia njia hii, kwa kawaida traders watatafuta marejesho katika viwango vya Fibonacci retracement ambavyo vinavyolingana na indicators nyingine za kiufundi, kama vile mitindo ya vinara au kiwango.

Kisha traders wanaweza kutumia viwango vya Fibonacci retracement ili kubaini points za kuingia na kutoka za trades au stop losses ili kudhibiti hatari.

Ni muhimu kujaribu mkakati wako wa biashara kwa zana za uchanganuzi wa kiufundi kama vile Fibonacci retracements kwenye akaunti ya demo kabla ya kufanya biashara ya indices za stock ukitumia mtaji halisi.

Indices za stock huathiriwa na mambo mbalimbali. Hizi ni pamoja na matukio ya kiuchumi na kisiasa, uhakika wa watumiaji, ugavi na mahitaji, mapato ya kampuni na habari za soko.

Indices kuu za kimataifa pia huathiriwa na hisia za mwekezaji kuhusu sekta au stock fulani.

Ni muhimu kuwa na habari mpya kuhusu masoko unayofanyia trade wakati unafanya trade ya indices za stock.

Iwe unafanya trade kwenye MetaTrader 4 au 5 au kwenye Terminali ya Exness, indicators maarufu zaidi zinaweza kutumika kwenye chati yako ya index.

Hii ni pamoja na Fibonacci retracements, Bollinger bands, RSI, moving averages, na zaidi.

Ikiwa unafanya trade kwenye Terminali ya Exness, unaweza pia kufurahia kuongezeka kwa utendakazi wa kutrade moja kwa moja kwenye chati yako ya index.

Hii inamaanisha kuwa unaweza kufunga au kurekebisha order na kusogeza take profits au stop losses kwa kuburuta na kudondosha order yako kwenye chati hadi kwa bei ambayo ungependa.

Tulianzisha vipindi vya ongezeko la margin na kupunguza kiwango cha leverage ili kukulinda kutokana na uwezekano wa kuchukua hatua mbaya za bei kutokana na kuongezeka kwa kubadilikabadilika ghafla kwa soko katika biashara ya fahirisi. Pia tuliongeza vipindi vyetu vya biashara ya fahirisi, ili kukupa fursa bora zaidi ya kufanya biashara ukitumia masharti ya kawaida ya margin.

Sheria zifuatazo hutumika katika suala la kuweka viwango vya pending orders:

  • Pending orders pamoja na SL na TP (kwa pending orders) sharti yawekwe kwa umbali (angalau sawa na spread ya sasa au zaidi) kutoka kwa bei ya sasa ya soko.

  • SL na TP katika pending orders lazima ziwekwe angalau umbali sawa kutoka kwa bei ya order kama spread ya sasa.

  • Kwa positions wazi, SL na TP lazima ziwekwe kwa umbali kutoka kwa bei ya sasa ya soko ambayo ni angalau sawa na ile ya spread ya sasa.

Katika Exness, tunajua jinsi unahisi wakati pending order yako iko kwenye gap ya bei, kwa hivyo ni haki tunapokuhakikishia kuwa hakuna slippage kwa takriban pending orders zitakazotekelezwa angalau saa 3 baada ya biashara kufunguliwa kwa instrument. Hata hivyo, ikiwa order yako inakidhi mojawapo ya vigezo vifuatavyo, itatekelezwa katika quote ya kwanza ya soko inayofuata gap:

  • Ikiwa pending order itatekelezwa katika hali ya soko ambayo si ya kawaida, kama vile wakati wa ukwasi wa chini cha bei au kubadilikabadilika ghafla kwa hali ya juu.

  • Ikiwa pending order yako iko katika gap lakini tofauti ya pip kati ya quote ya kwanza ya soko (baada ya gap) na bei iliyoombwa ya order ni sawa na au kuzidi idadi fulani ya pips (thamani ya kiwango cha gap) kwa instrument fulani.

Udhibiti wa kiwango cha gap hutumika kwa instruments mahususi za biashara.

Anza kufanya biashara ya fahirisi leo

Inachukua dakika 3 pekee kuweka mipangilio ya akaunti yako na kuwa tayari kufanya biashara