Programu za simu za MetaTrader

Fanya trade kwenye majukwaa yanayoongoza duniani moja kwa moja kutoka kwenye simu au kompyuta kibao chako.

Biashara ya haraka na rahisi

Fuatilia hali ya akaunti yako, fuatilia historia yako ya kutrade, na ununue na uuze financial instruments kwa mbofyo mmoja. Programu za MetaTrader pia hutoa vipengele vya ziada kama vile jumuiya ya traders na arifa za programu.

Uchanganuzi wa kina

MetaTrader ni jukwaa linalopendelewa na traders wakubwa kwa sababu ina indicators zaidi ya 40 zilizojengewa ndani, zinazoweza kubinafsishwa kukufaa na kalenda ya kiuchumi. Takriban kipengele chochote cha chati kinaweza kurekebishwa upendavyo, na michanganyiko ya indicators ina uwezekano wa kutokuwa na mwisho.

Utofauti wa mali

Fanya trade ya instruments kamili za Exness kwenye programu za MT5 na MT4. Kutoka Market Watch ya MetaTrader, unaweza kufuatilia bei za wakati halisi, spreads na zaidi kwa kila CFD inayopatikana.

Maelezo ya jukwaa

MetaTrader 5 ya simu
MetaTrader 4 ya simu

Inapatikana kwenye

iOS, Android

iOS, Android

Aina za Akaunti

Akaunti zote za MT5

Akaunti zote za MT4

Aina za chati

Candle, bar, line

Candle, bar, line

Orders zinazosubiri

Buy limit, buy stop, sell limit, sell stop, buy stop limit, sell stop limit, take profit, stop loss

Buy limit, buy stop, sell limit, sell stop, take profit, stop loss

Masharti ya chini zaidi ya mfumo

iOS 11.0, Android 5.0

iOS 11.0, Android 5.0

Fanya trade ukitumia MetaTrader ya rununu

Boresha biashara yako ukiwa na uaminifu kwa wataalamu wa programu.