Akaunti za Standard
Akaunti za Biashara: Standard
Akaunti zenye vipengele vingi, zisizotozwa ada zinazokidhi mahitaji ya wafanyabiashara wa kisasa. Jisajili na ufurahie manufaa ya akaunti yetu maarufu zaidi.
Standard
Akaunti yetu maarufu zaidi, inafaa kwa wafanyabiashara wote.
- Kiwango cha chini cha amana
- Spread
Kuanzia pips 0.2
- Ada
Hakuna ada
- Kiwango cha juu cha leverage
1:Bila kikomo
- Instruments
Forex, metali, crypto, nishati, hisa, fahirisi
- Ukubwa wa chini zaidi wa lot
0.01
- Ukubwa wa juu zaidi wa lot
200 (7:00 - 20:59 GMT+0), 60 (21:00 - 6:59 GMT+0)
- Idadi ya juu zaidi ya positions
Bila kikomo
- Hedged margin
0%
- Margin call
60%
- Stop out
0%
- Utekelezaji wa order
Soko
- Swap-free
Inapatikana
Sababu za kuchagua akaunti za standard
Ikiwa wewe ni mgeni katika biashara, akaunti zetu za standard ni chaguo bora kwako. Akaunti zetu maarufu zaidi zina market execution, spread thabiti na no requotes.
Vipengele vya akaunti za standard
Standard | |
---|---|
Kiwango cha chini cha amana | |
Spread | Kuanzia pips 0.2 |
Ada | Hakuna ada |
Kiwango cha juu cha leverage | 1:Bila kikomo |
Instruments | Forex, metali, crypto, nishati, hisa, fahirisi |
Ukubwa wa chini zaidi wa lot | 0.01 |
Ukubwa wa juu zaidi wa lot | 200 (7:00 - 20:59 GMT+0), 60 (21:00 - 6:59 GMT+0) |
Idadi ya juu zaidi ya positions | Bila kikomo |
Hedged margin | 0% |
Margin call | 60% |
Stop out | 0% (angalia maelezo kuhusu hisa) |
Utekelezaji wa order | Soko |
Swap-free | Inapatikana |
Sajili akaunti ya MT5Sajili akaunti ya MT4 |
Fanya biashara popote ulipo ukitumia Programu ya Exness Trade
Kila kitu unachohitaji ili kufanya biashara bila wasiwasi katika programu moja bunifu.