Je, kwa nini uchague Exness

Imarisha mkakati wako wa biashara kupitia hali za bora kuliko za soko.

Fanya biashara kwa faida zaidi

Masharti yetu ya kiwango cha juu ya biashara, vipengele vya biashara na ulinzi wetu huupa mkakati wako faida inayostahili.

Spreads za chini na thabiti

Fanya biashara kwa spreads thabiti na zinazoweza kubashirika kwenye instruments zote, hata wakati wa volatility.³

Ulinzi dhidi ya Stop Out

Furahia stopouts zilizopunguzwa kwa 30% kwa kutumia kipengele cha ulinzi cha kipekee kilichoundwa ili kuchelewesha au kuepuka kabisa stop out.

Hakuna ada za usiku kucha

Shikilia positions za usiku kucha bila malipo kwa jozi zote kuu za FX, jozi nyingi ndogo FX, dhahabu, crypto na indices.

Execution ya kasi ya juu sana

Tekeleza biashara katika milisekunde kwenye mifumo ya MetaTrader na Terminali zetu za Exness.

Kiwango cha stop out cha 0%

Kaa sokoni kwa muda mrefu ukiwa na stop out ya margin level ya 0% kwenye akaunti zote.

Leverage inayoweza kuwekewa mapendeleo

Rekebisha leverage yako ili iendane na mkakati wako wa kudhibiti hatari kwa kutumia leverage inayoweza kubadilika ya 1:isiyo na kikomo.

Pesa yako ni yako. Bila shaka.

Fikia funds zako kwa wakati wowote, kwa njia yoyote bila ada za ziada.

Utoaji fedha wa papo hapo¹

Hatua za utoaji fedha huchakatwa kwa sekunde, hivyo kukupa ufikiaji wa funds zako, hata katika wikendi.

Hakuna ada za transaction²

Tunalipa ada zako za transaction za wahusika wengine kwa hivyo huhitajiki kulipa.

Optons za malipo za kieneo

Ukiwa na watoa huduma wengi wa malipo wa kieneo na kimataifa, una uhuru wa kuchagua.

Una fursa na mahali pasipo na hatari

Funds na data zako ziko salama kila wakati. Ukiwa na Exness unalindwa na itifaki za tasnia za kiwango cha juu.

Mbinu za biashara zenye uwazi

Jaribu mkakati wako wa biashara kwa historia yetu kamili ya tick. Jionee jinsi bei na execution yetu inavyoweza kutegemewa.

Leseni nyingi za udhibiti

Tumepewa leseni na kudhibitiwa na bodi zinazoongoza za kimataifa. Fanya biashara ukiwa na uhakika kuwa data yako ya kifedha inalindwa.

Akaunti zilizotengwa

Pesa zako huwekwa kwa akaunti tofauti na funds za kampuni kila wakati, kwa hivyo utakuwa na uwezo wa kuzifikia kila wakati. Bila visingizio.

Zingatia kufanya biashara. Tutashughulikia mengine.

Wewe shughulika na instruments za kutrade na wakati wa kutrade. Tunajitahidi kupunguza gharama na kuboresha execution yako.

Gharama za chini za biashara

Furahia ada na viwango vya spread vya chini zaidi kwenye soko.³

Hakuna athari ya soko

Fanya biashara ya orders kubwa na spreads na bei sawa na traders wengine wote.³

Utekelezaji bora wa biashara

Nufaika na mchakato wetu wa utekelezaji wa biashara na liquidity iliyohakikishwa.

Fanya biashara na broker anayeaminika leo

Jionee mwenyewe kwa nini Exness ndiye broker anayefaa zaidi kwa traders zaidi ya 800,000 na washirika 64,000.