Fanya trade ya bidhaa kwa ujasiri

Nufaika kutokana na spreads za chini na thabiti zaidi kwenye dhahabu huku ukifanya biashara kwenye soko la bidhaa la kimataifa na ukipanua portfolio yako.

Fungua akaunti na uanze kutrade bidhaa

Panua portfolio yako

na biashara ya bidhaa na unufaike na fursa zisizo na kikomo.

Nufaika unapofurahia biashara ya dhahabu

wakati wa volatility ya soko kwa spreads thabiti zaidi za dhahabu.

Tumia masharti ya kipekee ya biashara

kuimarisha positions zako na kuupa mkakati wako faida ya kipekee katika soko linalobadilika.

Spreads na swaps za masoko ya bidhaa

Market execution

Ishara

Spread wastani³

pips

Ada

kwa kila lot/upande

Margin

1:2000

Long swap

pips

Short swap

pips

Stop level*

pips

Masharti ya soko la bidhaa

Soko la bidhaa ni soko la kimataifa la kutrade aina mbalimbali za bidhaa kama vile metali za thamani na nishati. Kuzifanyia trade hukuruhusu kubashiri kuhusu bei ya instrument zinazobadilika-badilika kama vile dhahabu na mafuta bila kununua mali ya msingi, iwe bei ya bidhaa inapanda au kushuka.

Spreads³

Katika biashara ya dhahabu na mafuta, Exness inaongoza kwa spreads ndogo zaidi kwenye soko. Kumbuka kuwa spreads zetu hubadilikabadilika na jedwali lililo hapo juu linaonyesha viwango vya wastani vya siku iliyopita. Kwa spreads za moja kwa moja, tafadhali angalia jukwaa lako la biashara.

Tafadhali kumbuka kuwa spreads zinaweza kupanuka wakati soko linapata liquidity ndogo. Hii inaweza kuendelea hadi viwango vya liquidity vitakaporejeshwa.


Swaps

Swap ni aina ya ada inayotozwa au kulipwa kwa trading positions za usiku kucha. Swap inaweza kuwa chanya au hasi, kulingana na viwango vya riba vya instrument ya msingi na position (ununuzi au uuzaji). Huwa inatozwa au kulipwa kwa akaunti yako ya kutrade saa 21:00 (GMT+0) kila siku, bila kujumuisha wikendi, hadi position itakapofungwa. Ili kukusaidia kukadiria gharama zako za swap, unaweza kutumia kikokotoo chetu rahisi cha Exness.

Kila Jumatano, kiwango cha swap cha mara tatu hutozwa kwa positions za dhahabu, fedha, platinamu, na jozi zingine za metali ili kufidia kufungwa kwa soko wakati wa wikendi ambapo swaps hazitozwi.

Taarifa mpya za thamani za swap zinaweza kutolewa kila siku. Ikiwa wewe ni mkazi wa nchi ya Kiislamu, akaunti zote zitakuwa swap-free.


Masharti ya margin yanayobadilika

Masharti ya margin hufungamanishwa na kiwango cha leverage unachotumia. Kubadilisha kiwango chako cha leverage kutasababisha masharti ya margin kwenye jozi za XAU (dhahabu) na XAG (fedha) kubadilika. Jinsi spreads zinavyobadilika kulingana na hali, kiwango cha leverage kinachopatikana kwako kinaweza pia kutofautiana. Unaweza kupata maelezo zaidi kuhusu mabadiliko ya masharti ya margin katika sehemu ya Maswali Yanayoulizwa Sana hapa chini.


Masharti ya margin yasiyobadilika

Masharti ya margin kwa bidhaa zifuatazo daima hubaki bila kubadilika, bila kujali leverage ya juu zaidi iliyowekwa kwenye akaunti yako:

  • Kwa XAL (alumini), XCU (shaba), XNI (nikeli), XPB (risasi), XPT (platinamu), XPD (paladiamu) na XZN (zinki) leverage huwekwa kuwa 1:100.

  • Kwa XNGUSD (gesi asilia), leverage huwekwa kwa 1:20

Masharti ya margin kwa USOIL na UKOIL daima hayabadiliki na leverage huwa 1:200, isipokuwa kwa vipindi maalum vya masharti ya juu ya margin. Katika vipindi vifuatavyo vya masharti ya juu ya margin, masharti ya margin ya USOIL na UKOIL huwekwa kwa 5% (leverage ya 1:20).

  • USOIL: kuanzia 16:45 (GMT+0) siku ya Ijumaa hadi 22:59 (GMT+0) siku ya Jumapili

  • UKOIL: kuanzia 08:00 (GMT+0) siku ya Ijumaa hadi 00:30 (GMT+0) siku ya Jumatatu


Stop level

Tafadhali kumbuka kuwa thamani za stop level kwenye jedwali lililo hapo juu zinaweza kubadilika na huenda zisipatikane kwa traders wanaotumia mikakati fulani ya biashara ya kiwango cha juu au Expert Advisors.


Saa za kufanya biashara

  • XAU, XAG: Jumapili 23:05 – Ijumaa 21:58 (mapumziko ya kila siku 21:58-23:01)

  • XPDUSD, XPTUSD: Jumapili 23:10 – Ijumaa 21:58 (mapumziko ya kila siku 21:58-23:05)

  • XALUSD, XCUUSD, XPBUSD, XZNUSD: kila siku 01:00 – 18:55 (mapumziko ya kila siku 18:55-01:00)

  • XNIUSD: kila siku 08:00 – 18:55 (mapumziko ya kila siku 18:55-08:00)

  • USOIL, XNGUSD: Jumapili 23:10 – Ijumaa 21:44 (mapumziko ya kila siku 21:45-23:10)

  • UKOIL: Jumatatu 01:10 – Ijumaa 21:54 (mapumziko ya kila siku 21:55-01:10)

Muda wote uko katika wakati wa seva (GMT+0).

Paa maelezo zaidi kuhusu saa za biashara kwenye arn more about trading hours in our Kituo chetu cha Usaidizi.

Kwa nini ufanye trade ya bidhaa mtandaoni katika Exness

Fanya trade ya metali za thamani na nishati na ukitumia masharti ya biashara ambayo yanaupa mkakati wako faida.

Spreads za chini na thabiti

Weka gharama zako za biashara kuwa chini, hata wakati bei zinabadilika. Furahia spreads za chini na thabiti, hata wakati wa habari za soko na matukio ya kiuchumi yenye athari kubwa.³

Execution ya haraka

Usikose pip kamwe. Orders zako zitatekelezwa kwa milisekunde kwenye mifumo ya MT na Terminali zetu za Exness.

Usalama wa fedha

Fanya biashara katika masoko ya bidhaa ukiwa na Ulinzi dhidi ya Salio Hasi. Nufaika kutokana na ulinzi wa data ya kifedha wa PCI DSS, na akaunti za mteja zilizotengwa katika benki za kiwango cha juu.

Fanya biashara ya bidhaa kama mtaalamu

Chunguza miongozo yetu ya kina ya biashara na unufaike kutokana na masoko ya bidhaa. Mikakati ya kina na ya busara, iliyoundwa kwa kila aina ya traders.

Maswali yanayoulizwa sana


Bidhaa ni malighafi zinazozalishwa kwa wingi na kufanyiwa trade katika soko la kimataifa.

Mifano ya bidhaa ni nishati kama vile mafuta ghafi na gesi asilia, na metali za thamani kama dhahabu, fedha na platinamu.

Bei za bidhaa kwa kawaida huabainishwa na vipengele kama vile ugavi na mahitaji, uthabiti wa kisiasa, thamani ya sarafu na utendaji wa kiuchumi.


Unaweza kutrade aina mbalimbali za financial instruments kwenye soko la bidhaa, haswa metali na zenye thamani na nishati.

Traders wengi watatumia volatility ya nishati ili kufaidika kutokana na mabadiliko ya bei ya mara kwa mara, ilhali wengine watafanya trade ya dhahabu ili waweke hedge kwenye portfolio zao na rasilimali zilizo salama.

Katika Exness, unaweza kutrade bidhaa kwenye bidhaa zinazofanyiwa trade sana duniani, zikiwa pamoja na USOIL, XNGUSD, UKOIL, XAUUSD, XAGUSD na XPTUSD.


Bidhaa maarufu zaidi za kutrade ni metali za thamani kama vile dhahabu, fedha na platinamu, pamoja na bidhaa za nishati kama vile mafuta ghafi, mafuta ya Uingereza na gesi asilia. Metali za thamani ni maarufu sana kwa sababu ya ugavi wao mdogo na mahitaji ya mara kwa mara, huku bidhaa za nishati zina uwekezaji wa kuvutia kwa sababu ya unyeti wao kwa matukio ya kimataifa.


Wakati wa kufanya biashara au kuwekeza katika bidhaa, mambo makuu ya hatari ya kuzingatia ni hatari za volatility ya soko, leverage na za kiwango cha ubadilishaji wa sarafu.

Volatility ya soko kimsingi ni mabadiliko ya haraka ya bei ndani ya muda fulani, jambo ambalo lina umuhimu sana katika biashara ya bidhaa.

Unapotrade katika soko la bidhaa la dunia, unahitaji kuzingatia vipengele vya msingi kama vile uthabiti wa kisiasa, ugavi na mahitaji, na utendaji wa kiuchumi.

Ili kuhakikisha kuwa unaongeza utendaji wako, kufahamu habari za hivi punde za soko ni muhimu katika kuunda mkakati thabiti na wa hali ya juu wa biashara ya bidhaa.

Ni muhimu pia kukumbuka kuwa biashara ya bidhaa yenye leverage inaweza kuongeza hasara inayoweza kupatikana ikiwa hutaitumiwa pamoja na mkakati sahihi wa kudhibiti hatari.


Habari muhimu zinapotolewa, zinaweza kusababisha volatility ya juu na gaps za bei. Kutumia leverage ya juu kwenye soko lenye volatility ya juu ni hatari kwa sababu mabadiliko ya ghafla yanaweza kusababisha hasara kubwa. Ndiyo maana tunaweka kikomo cha leverage kuwa 1:200 wakati wa matoleo ya habari kwa positions zote mpya katika jozi za dhahabu na 1:100 kwa jozi za fedha.


Katika Exness, tunajua jinsi unahisi wakati pending order yako iko kwenye gap ya bei, kwa hivyo ni haki tunapokuhakikishia kuwa hakuna slippage kwa takriban pending orders zitakazotekelezwa angalau saa 3 baada ya biashara kufunguliwa kwa instrument. Hata hivyo, ikiwa order yako inakidhi mojawapo ya vigezo vifuatavyo, itatekelezwa katika quote ya kwanza ya soko inayofuata gap:

  • Ikiwa pending order itatekelezwa katika hali ya soko ambayo si ya kawaida, kama vile wakati wa ukwasi wa chini cha bei au kubadilikabadilika ghafla kwa hali ya juu.

  • Ikiwa pending order yako iko katika gap lakini tofauti ya pip kati ya quote ya kwanza ya soko (baada ya gap) na bei iliyoombwa ya order ni sawa na au kuzidi idadi fulani ya pips (kiwango kisicho na slippage) kwa instrument fulani.

Kanuni ya slippage hutumika kwa instruments mahususi za biashara.


Exness hutoa spreads za chini zaidi kwa dhahabu (XAUUSD) katika tasnia hii, kuanzia pips 0.3. Bei ya chini na thabiti huruhusu traders kutekeleza mikakati kwa ufanisi zaidi, hata katika masoko tete.

Pia tumepunguza spreads zetu kwa mafuta kwa hadi 68% na kutoa baadhi ya spreads ndogo zaidi kwenye instruments kama vile USOIL.


Exness inajulikana kama broker mkuu wa biashara ya dhahabu na mafuta kutokana na spreads zake ndogo na thabiti, execution ya haraka na uwekaji bei wazi.

Kati ya Januari na Mei 2024, tulifanya utafiti na kulinganisha spreads zetu za dhahabu (XAUUSD) katika sekunde mbili za kwanza baada ya habari zenye athari ya juu na brokers wengine watano wakuu. Matokeo yalithibitisha kuwa Exness hutoa spreads ndogo na thabiti zaidi, hata wakati wa vipindi tete, wakati kila pip inaweza kuathiri upatikanaji wa faida.

Huku spreads za dhahabu zikianza chini hadi pips 0.3 na spreads za mafuta zikipungua kwa hadi 68%, Exness inasalia kuwa mojawapo ya brokers washindani zaidi katika tasnia hii, haswa wakati wa volatility. Kwa execution inayotegemewa na slippage ndogo, Exness huwapa traders zana za kufaidika kutokana na masoko yanayosonga haraka kwa ujasiri.


Exness hutumia miundo ya kiwango cha juu ya uwekaji bei, seva zenye muda wa chini wa kusubiri na ushirikiano wa kimkakati na watoa huduma wakuu wa liquidity ili kutoa spreads bora zaidi kwa dhahabu na mafuta mara kwa mara. Hii huhakikisha gharama za chini za biashara, hata wakati wa volatility ya soko.


Uanze kutrade bidhaa

Inachukua dakika 3 pekee kuweka mipangilio ya akaunti yako na kuwa tayari kufanya biashara.